KILIMANJARO WAITIKIA VYEMA AGIZO LA MAKAMU WA RAIS.
Ikiwa Una Habari, Tukio, Picha, Maoni au Tangazo, Wasiliana Na BMG Kwa Nambari za Simu 0757 432694 Au Email binagimediagroup@gmail.com
Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro,Saidi Mecki Sadiki akiwa na viongozi wengine wa kiserikali wakiowaongoza watumishi wa kada mbalimbali,watumishi wa umma,wanafunzi wa shule za msingi na sekondari katika uzinduzi wa kampeni ya kudhibiti magonjwa yasiyoambukiza kwa njia ya mazoezi kimkoa.
Washiriki wa zoezi hilo wakipita maeneo mbalimbali ya mji Moshi kwa kutembea na kukimbia kidogo kidogo.
Mazoezi ya awali ya kukimbia na kutembea yaliyoanzia ofsi ya mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro,yalihitimishwa kwa mazoezi ya viungo katika uwanja wa Chuo Kikuu chuo kikuu cha Ushirika mjini Moshi.
Katibu Tawala mkoa wa Kilimanjaro,Mhandisi Aisha Amour alikuwa ni miongoni mwa washiriki katika mazoezi hayo.
Mkurugenzi wa Mamlaka ya Maji safi na usafi wa Mazingira mjini Moshi,Joyce Msiru pia alishiriki katika mazoezi hayo.





Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii Kanda ya Kaskazini.
No comments: