LIVE STREAM ADS

Header Ads

NAMAINGO BUSSINESS AGENCY NA NHIF YAWAKUTANISHA WAJASIRIAMALI MKOANI TANGA.

Ikiwa Una Habari, Tukio, Picha, Maoni au Tangazo, Wasiliana Na BMG Kwa Nambari za Simu 0757 432694 Au Email binagimediagroup@gmail.com

MENEJA wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya Mkoani Tanga (NHIF) Ally Mwakababu akizungumza katika mkutano uliowakutanisha wajasiriamali  na Taasisi ya Kibiashara ya Namaingo Bussiness Agency uliokuwa na lengo la kuwahamasisha kujiunga na bima ya Afya na kuhalalisha biashara zao

Mkurugenzi wa Kampuni ya Namaingo Business Agency, Bi Ubwa Ibrahima akitoa ufafanuzi wa masuala mbalimbali wa wafanyabiashara na wajasiamali mkoani Tanga leo
Mkurugenzi wa Kampuni ya Namaingo Business Agency, Bi Ubwa Ibrahim akisisitiza jambo kwenye mkutano huo wa pamoja.
  Afisa Matekelezo wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya Mkoani Tanga(NHIF) Miraji Kisile akifafanua namna ya wajasiriamali na wafanyabiashara wanavyoweza kunufaika na huduma mbalimbali ikiwemo za matibabu kupitia mfuko huo 
  Afisa Matekelezo wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya Mkoani Tanga(NHIF) Miraji Kisile akifafanua namna ya wajasiriamali na wafanyabiashara wanavyoweza kunufaika na huduma mbalimbali ikiwemo za matibabu kupitia mfuko huo ikiwemo kufanya biashara zinazotambulika kisheria ili kuisaidia serikali kupata mapato
 Baadhi ya wafanyabiashara na wajasiriamali kutoka maeneo mbalimbali mkoani Tanga wakifuatilia mkutano huo
 Afisa Matekelezo wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya Mkoani Tanga(NHIF) Miraji Kisile akimsikiliza kwa umakini mmoja wa wafanyabishara waliojitokeza kwenye mkutano huo uliofanyika ukumbi wa Police Mess mkoani Tanga
 Afisa Matekelezo wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya Mkoani Tanga(NHIF) Miraji Kisile akisistiza jambo katika mkutano huo kwa baadhi ya wafanyabiashara namna wanayoweza kujiunga na mfuko wa Bima ya Afya kwa ajili ya kupata matibabu
 Baadhi ya wafanyabiashara na wajasiriamali kutoka maeneo mbalimbali mkoani Tanga wakifuatilia mkutano huo
Baadhi ya wafanyabiashara na wajasiriamali kutoka maeneo mbalimbali mkoani Tanga wakifuatilia mkutano huo. 
Habari kwa Hisani ya Blog ya Kijamii ya Tanga Raha.

No comments:

Powered by Blogger.