LIVE STREAM ADS

Header Ads

ILIVYOKUWA KWENYE MAFUNZO YA WATOTO WAFANYAKAZI WA NYUMBANI JIJINI MWANZA.

Ikiwa Una Habari, Tukio, Picha, Maoni au Tangazo, Wasiliana Na BMG Kwa Nambari za Simu 0757 432694 Au Email binagimediagroup@gmail.com
Mkurugenzi wa Shirika la Kutetea Haki za Wafanyakazi wa Nyumbani (Wote Sawa) la Jijini Mwanza, Angel Benedicto, akizungumza kwenye mafunzo ya kuwajengea uwezo  wa kisheria watoto wafanyakazi wa nyumbani ili waweze kujisimamia wenyewe dhidi ya unyonyaji na unyanyaswaji unaofanywa na baadhi ya waajiri wao.

Mafunzo hayo yalifanyika juzi March 06 na jana March 07 mwaka huu katika hotel ya Mipa Jijini Mwanza na kuwashirikisha zaidi ya watoto 51 kutoka Kata nne Jijini humo.
#WoteSawa
Mmoja wa washiriki wa mafunzo hayo Christina William akichangia mada katika mafunzo hayo
Washiriki wa mafunzo hayo wakimsikiliza Mkurugenzi wa Shirika la Wote Sawa la jijini Mwanza, Angel Benedicto
Mmoja wa washiriki hao
Washiriki wa mafunzo hayo ambao ni wafanyakazi wa ndani Watoto wakiendelea kusikiliza kile kinachoelekezwa na wawezeshaji wa semina hiyo.

No comments:

Powered by Blogger.