LIVE STREAM ADS

Header Ads

KAMPUNI YA SIMU ITEL TANZANIA YACHANGIA UPATIKANAJI WA ELIMU BORA NCHINI.

Ikiwa Una Habari, Tukio, Picha, Maoni au Tangazo, Wasiliana Na BMG Kwa Nambari za Simu 0757 432694 Au Email binagimediagroup@gmail.com
James Salvatory, Dar
Watanzania wameaswa kuchangia katika suala la elimu ili kufanikisha wanafunzi  wengi kupata elimu bora nchini

Hayo yamesemwa hii leo katika hafla fupi ya kukabadhi vifaa vya shule kwa wanafunzi wa sekondari ya Mugambe na Meneja Masoko wa kampuni ya simu ya Itel Tanzania, Saiphoni Asajile.

Amesema kuwa  wametoa  mabegi 100 na karamu na hii ikiwa ni mwendelezo wa kuwa wanatoa vifaa kwa wanafunzi kwa kila mwezi hususani wenye uhitaji.

Kwa upande wake Hamadi Mongomongo ambaye ni mwanafunzi wa kidato cha pili katika shule za sekondary Mugabe amesema ni vema kwa watu na makampuni binafsi kujitokeza kuwasaidia wanafunzi wenye uhitaji maalumu ili kuwezesha kupata vifaa zaidi vya shule.

No comments:

Powered by Blogger.