LIVE STREAM ADS

Header Ads

LOWASA AMGEUKIA RAIS MAGUFULI.

Ikiwa Una Habari, Tukio, Picha, Maoni au Tangazo, Wasiliana Na BMG Kwa Nambari za Simu 0757 432694 Au Email binagimediagroup@gmail.com

James Salvatory, Dar
Waziri mkuu msatafu wa Tanzania Edward Lowasa amemuomba raisi John Pombe Magufuli kufuta kauli yake ya kusema kuwa viongizi wa ccm atakayekwenda kumuona  Godless Lebbma atakuwa amekisaliti chama cha mapinduzi.

Akizungumza jana katika mkutano wa chama hicho uliofanyika sinza  jijini dar es salaam lowasa amesema ni vema rais kuiondoa kauri hiyo kwani hakuna matatizo yoyote kati ya ccm na chadema kukaa pamoja na kubadilisha  mawazo  na kwa kupinga   vitu vya kuwa pamoja ni dhahiri shahiri kuleta ubanguzi badala ya kuleta umoja ambao baba wa taifa alituachia

Katika hatuna nyingine lowasa ameviomba vyamba vingine vya upinzani  (ukawa) kuwa na umoja ili kuhakikisha wanashinda uchaguzi mkuu wa mwaka 2020 kwani tatizo linaloisumbua vyama vya upinzani ni kutokuwa na umoja.

No comments:

Powered by Blogger.