LIVE STREAM ADS

Header Ads

MSAADA TUTANI, KIJANA ANAWATAFUTA NDUGU ZAKE.

Ikiwa Una Habari, Tukio, Picha, Maoni au Tangazo, Wasiliana Na BMG Kwa Nambari za Simu 0757 432694 Au Email binagimediagroup@gmail.com

Pichani ni Kijana anayefahamika kwa  jina la ERICK RAPHAEL MSYALIHA anayeishi Sinza-Mugabe ametoweka Ghafla Tarehe 13.03.2017 majira ya usiku alipochukuliwa na watu wasio famika akiwa mitaa ya  nyumbani kwake. 

Mpaka sasa hajarejea nyumbani, hivyo anatafutwa na ndugu zake, Tunaomba  yeyote atakayemuona au kupata Taarifa zake atujulishe kwa namba +255718105959 au atoe Taarifa katika Kituo cha Polisi kilicho jirani nae,Tunatanguliza Shukurani zetu.
Na Fredy Njenje

No comments:

Powered by Blogger.