LIVE STREAM ADS

Header Ads

HAYAWI HAYAWI, HATIMAYE YAMEKUWA.

Ikiwa Una Habari, Tukio, Picha, Maoni au Tangazo, Wasiliana Na BMG Kwa Nambari za Simu 0757 432694 Au Email binagimediagroup@gmail.com

Ikiwa leo ni Siku Kuu ya Pasaka, pia ni siku muhimu kwani lile tamasha kubwa la burudani Kanda ya Ziwa. la Nyanza Festival 2017, linafanyika leo, katika Uwanja wa CCM Kirumba.

Kwa kiingilio cha 5,000 tu utashuhudia burudani kabambe ikiwemo soka, dance, Djs pamoja na burudani ya kukata na mundu kutoka kwa wasanii zaidi ya 30. Ni kuanzia mchana hadi kucheeeee, BMG inakusihi Usikosee!

No comments:

Powered by Blogger.