LIVE STREAM ADS

Header Ads

SALAMU ZA SIKU KUU YA PASAKA 2017.

Ikiwa Una Habari, Tukio, Picha, Maoni au Tangazo, Wasiliana Na BMG Kwa Nambari za Simu 0757 432694 Au Email binagimediagroup@gmail.com

Binagi Media Group BMG, inapenda kuwatakia Siku Kuu Njema ya PASAKA wasomaji wake wote ndani na nje ya Tanzania, inayofanyika hii leo April 16,2017.

Pia BMG inawatakia Pasaka njema Wakristo wote wanaosherehekea sherehe hiyo muhimu kwao ya kumbukizi ya Kufufuka kwa Mwokozi, Yesu Kristo, baada ya mateso mengi kwa ajili ya kuukomboa ulimwengu. 

Ni vyema watu wote wakasherehekea Pasaka kwa Amani na Upendo kwa kuyatenda yale yampendezayo Mwenyezi Mungu, Amina!

No comments:

Powered by Blogger.