LIVE STREAM ADS

Header Ads

New Audio: PETTY BARAKA - KAZI YA MOYO.

Ikiwa Una Habari, Tukio, Picha, Maoni au Tangazo, Wasiliana Na BMG Kwa Nambari za Simu 0757 432694 Au Email binagimediagroup@gmail.com

Ninao hapa wimbo mpya wa Petty Baraka unaitwa Kazi ya Moyo iliyotengezwa Studio ya Pamoja Records ya Nas B 
Petty Baraka ni msanii anayefanya kazi nzuri ya muziki,awali alikuwa Mabatini jijini Mwanza sasa anapatikana Temeke jijini Dar es salaam,wasiliana naye kwa simu namba 0653 710 388 
Petty Baraka anawaalika wapenzi wa muziki kumpokea kwa mikono miwili ili kutimiza ndoto zake katika muziki. 
Sikiliza wimbo Kazi ya Moyo ya Petty Baraka hapa chini
Malunde 1

No comments:

Powered by Blogger.