LIVE STREAM ADS

Header Ads

TLS KUJENGA JENGO LA KISASA JIJINI DAR.

Ikiwa Una Habari, Tukio, Picha, Maoni au Tangazo, Wasiliana Na BMG Kwa Nambari za Simu 0757 432694 Au Email binagimediagroup@gmail.com

Na James bayachamo-Salvanews
Chama cha  wanasheria wa Tanganyika (TLS ), kimekabidhi  eneo kwa mkandarasi kwa ajiri ya kuanza mara moja kwa ujenzi  wa jengo jipya lenye urefu wa ghorofa nne huku likiwa na thamani ya 
billion 3.
Akizungumza jana Jijini Dare s salaam wakati  wa makabidhiano hayo  na mkadarasi , Rais wa chama hicho Tundu Lisu alisema kuwa tangu kuanzishwa kwa chama hicho kimekuwa kikipanga   lakini kutokana na jitihada za maraisi waliomtangulia  ndyo wamekiwezesha kupata eneo ambalo watajenga na itakuwa ni sehemu ya chama ya kudumu.
Alisema kukamilika kwa jengo hilo linaloanzwa kujengwa may mwaka huu, litakalochukua wiki 56  litawafanya wao kama chama cha wanasheria kuwa na ofisi za kudumu ambayo itawawezesha hata kupangisha baadhi ya watu watakaohitaji kutokana na mahitaji ya wakati huo .

No comments:

Powered by Blogger.