LIVE STREAM ADS

Header Ads

WAZIRI MWIJAGE MGENI RASMI UFUNGUZI WA MAONYESHO YA KIMATAIFA YA BIASHARA JIJINI TANGA.

Ikiwa Una Habari, Tukio, Picha, Maoni au Tangazo, Wasiliana Na BMG Kwa Nambari za Simu 0757 432694 Au Email binagimediagroup@gmail.com

Mkuu wa wilaya ya Tanga,Thobias Mwilapwa akizungumza na waandishi wa habari kuhusiana na Waziri wa Viwanda Biashara na Uwekezaji Charles Mwijage kuwa mgeni kwenye maonyesho ya kimataifa yatakayoanza kesho kwenye viwanja vya Mwahako Jijini Tanga 
 Mkuu wa wilaya ya Tanga,Thobias Mwilapwa akikagua mabanda mbalimbali kuelekea uzinduzi wa maonyesho ya kimataifa yatakayofunguliwa kwenye na Waziri Mwijage
 Mkuu wa wilaya ya Tanga,Thobias Mwilapwa akisalimiana na wanawake wajasiriamali wakati akikagua mabanda mbalimbali kuelekea uzinduzi wa maonyesho ya kimataifa yatakayofunguliwa kwenye na Waziri Mwijage
 Mkuu wa wilaya ya Tanga,Thobias Mwilapwa akisalimia na baadhi ya wajasiriamali wakati apokuwa akikagua mabanda mbalimbali kuelekea uzinduzi wa maonyesho ya kimataifa yatakayofunguliwa na Waziri Mwijage
 Baadhi ya watumishi wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya Mkoani Tanga (NHIF) wakiendelea na matayarisho ya  Banda lao ambalo lipo kwenye viwanja Mwahako Jijini Tanga
Mjumbe wa Kamati ya Maandalizi ya Maonyesho ya Biashara ya Kimataifa yatakayoanza kesho kwenye viwanja vya Mwahako Salehe Masoud kushoto akimuonyesha kitu Mkuu wa wilaya ya Tanga,Thobias Mwilapwa wakati alipokwenda kukagua na kutembelea kuona maendeleo ya mabanda hii leo
 Mkuu wa wilaya ya Tanga,Thobias Mwilapwa kulia akisisitiza jambo kwa mjumbe wa kamati ya maandalizi ya maonyesho hayo,Salehe Masoud wakati alipotembelea kukagua mabanda leo
 Mjumbe wa Kamati ya Maandalizi ya Maonyesho ya Biashara ya Kimataifa yatakayoanza kesho kwenye viwanja vya Mwahako Salehe Masoud kushoto akimuonyesha kitu Mkuu wa wilaya ya Tanga,Thobias Mwilapwa wakati alipokwenda kukagua na kutembelea kuona maendeleo ya mabanda hii leo.
Blog ya Kijamii ya Tanga Raha

No comments:

Powered by Blogger.