LIVE STREAM ADS

Header Ads

WAZIRI WA JPM ATUMBULIWA.

Ikiwa Una Habari, Tukio, Picha, Maoni au Tangazo, Wasiliana Na BMG Kwa Nambari za Simu 0757 432694 Au Email binagimediagroup@gmail.com

#BMGMtandaoni
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Magufuli ametengua uteuzi wa Waziri wa Nishati na Madini Prof. Sospeter Mwijarubi Muhongo kuanzia leo May 24, 2017.
Taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi imeeleza kuwa nafasi ya Waziri wa Nishati na Madini itajazwa baadaye.

No comments:

Powered by Blogger.