ALIYEKUWA MBUNGE WA JIMBO LA TEMEKE ABBAS MTEMVU APATA MSIBA MZITO.
Ikiwa Una Habari, Tukio, Picha, Maoni au Tangazo, Wasiliana Na BMG Kwa Nambari za Simu 0757 432694 Au Email binagimediagroup@gmail.com
![]() | |||
Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Temeke na Kamanda wa Vijana Mkoa wa Dar es Salaam,
Abbas Mtemvu amefiwa na mama yake mzazi Sitti Kilungo Mtemvu.
Kifo kimetokea siku ya jumatano na msiba upo masaki Mtaa wa Haileselasi karibu na Hospitali ya Osetabey ambapo chanzo kutoka katika familia kilidokeza mazishi yanatarajiwa kufanyika siku ya Ijumaa Jun 2, 2017 saa kumi alasiri katika makaburi ya Kinondoni Jijini Dar es Salaam.
Na Khamis Mussa
No comments: