Machozi ya hisia za kuimbiwa na akupendaye
Wasiliana na BMG kupitia 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com kwa huduma za Habari na Mangazo.
Bonyeza HAPA picha za mahafali.
Na Binagi Media Group
Jumamosi Oktoba 21,2017 yalifanyika ya Mahafali ya saba ya shule ya Sekondari Eden iliyopo Mandu Kata ya Nyakato Manispaa ya Ilemela Jijini Mwanza.
Miongoni mwa matukio yaliyovutia ni wimbo kutoka kwa wahitimu wa shule hiyo hatua ambayo ilificha hadi hisia za meneja wa shule na kujikuta akitokwa machozi ya furaha.
Bonyeza HAPA picha za mahafali.
No comments: