LIVE STREAM ADS

Header Ads

MAELFU YA WAKAZI WA SONGEA WAFURAHIA MSIMU WA TIGO FIESTA

Wasiliana na BMG kupitia 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com kwa huduma za Habari na Mangazo.


Msanii  wa bongo fleva Aslay akiimba kwenye jukwaa la tamasha la Tigo Fiesta lililofanyika uwanja wa Majimaji mjini Songea usiku wa kuamkia jumatatu.
Ommy Dimpoz akiimba na  mashabiki zake kutoka Songea mapema usiku wa jumapili katika Tamasha la Tigo Fiesta
Msanii wa bongo fleva Darassa akitumbuiza kwenye jukwaa la tamasha la Tigo Fiesta lililofanyika uwanja wa majimaji mjini Songea usku wa kuamkia jumatatu.
Mimi Mars akitumbuiza katika jukwaa la Tigo Fiesta mapema usiku wa jumapili.
Nandy akitumbuiza katika jukwaa la TigoFiesta mapema jumapili mkoani Songea usiku wa kuamkia jumatatu.
Vanesa Mdee akiburudisha maelfu ya wakazi wa Songea katika Tamasha la Tigo Fiesta mapema jumapili .
Roma Mkatoliki akitumbuiza katika tamasha la Tigo Fiesta mapema usiku wa jumapili  mkoani Songea.
Na Krantz Mwantepele

No comments:

Powered by Blogger.