LIVE STREAM ADS

Header Ads

UONGOZI WA MKOA WA RUKWA WAUNGANA KUWAFARIJI WAFIWA AJALI ILIYOUA 15 NA KUJERUHI TISA

Wasiliana na BMG kupitia 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com kwa huduma za Habari na Mangazo.

Abate wa Pambu Martin Mkolwe Abasia ya Mvimwa akiongoza ibada fupi ya kuwaombea marehemu wa ajali iliyoua watu 15 na kujeruhi 9 iliyofanyika katika kituo cha afya Mvimwa, Wilayani Nkasi.

  1. Domona Tenganamba, 41yrs, mfipa mkulima.
  2. Emmanuel Rashid 84yrs, mfipa mkulima, mkazi wa ntemba
  3. Restuta Sunga , 35yrs, mfipa mkazi wa ntemba
  4. Salula Revana 64yrs, mfipa mkazi wa mtapenda isale
  5. Ferisia Tenganamba , miaka 1 – 6/12
  6. Prisca Madeni, 45yrs, mfipa, mkulima, mkazi wa china
  7. Richard Chikwangara, 24yrs, mfipa, mwalimu mkazi wa kalambanzite
  8. Yusta Somambuto, 36yrs, mfipa, mkulima mkazi wa kizumbi
  9. Gilesi Ramadhan, 24yrs, mfipa, mkulima mkazi wa sumbawanga
  10. Odetha Madirisha 46yrs, mfipa mkulima wa kizumbi
  11. Megi Nalunguli, 52yrs, mfipa, mkulima mkazi wa wampembe
  12. Abuu Amani @ mandevu, 37yrs, muha, biashara, mkazi wa liapinda
  13. Nyandindi Batrahamu, 35yrs, mfipa, mkulima, mkazi wa sumbawanga
  14. Magdalena Mbalamwezi, 50yrs, mfipa, mkulima mkazi wa ntuchi
  15. Mtoto mchanga wa wiki mbili, mwanaume ambaye hajapewa jina
Majeruhi wa ajali hiyo ni:-
  1. Dismas Clement, 26yrs, mfipa, mkulima mkazi wa mwinza
  2. Sema Savery 25yrs, mfipa, mkulima mkazi wa wampembe
  3. Ally Haruna, 33yrs, mfipa, mkazi wa namanyere
  4. Yusta Mfundimwa, 50yrs, mkulima mkazi wa izinga
  5. Tenesfory Oscar, 36yrs, mfipa mkazi wa wampembe
  6. Amos Kitambale, 25yrs, mfipa, mkazi wa wampembe
  7. Neema Mwanandenje, 21yrs, mfipa, mkazi wa mlambo
  8. Joseph Sungula, 28yrs, mfipa, mkulima.
  9. Majeruhi mmoja mwanamke ambaye hajafahamika kwa jina yuko icu
Baada ya kusababisha ajali hiyo dereva alitoroka lakini juduhudi za kumtafuta mtuhumiwa zinaendelea kufanyika.Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Kamishna Mstaafu Zelote Stephen (kaunda Suti ya ugoro) akitoa salamu zake za pole kwa wafiwa, kushoto ni Mkuu wa Wilaya ya Nkasi Mh. Said Mtanda na kuliani kwake ni Abate Pambu Mkolwe wa Abasia ya Mvimwa.

No comments:

Powered by Blogger.