LIVE STREAM ADS

Header Ads

Rais Magufuli avutiwa na kiwanda cha dawa za binadamu Mwanza

Wasiliana na BMG kupitia 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com kwa huduma za Habari na Mangazo.

Rais Dkt.John Pombe Magufuli jana amehitimisha ziara yake ya kikazi ya siku mbili Jijini Mwanza kwa kufungua kiwanda cha dawa za binadamu cha Prince Pharmaceuticals Buhongwa ambapo pamoja na mambo mengine alipongeza uwekezaji uliofanywa kiwandani hapo.
Binagi Media Group
Rais Magufuli akizungumza kwenye uzinduzi wa kiwanda hicho
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu akizungumza kwenye uzinduzi wa kiwanda hicho
Mkurugenzi wa kiwanda cha dawa za binadamu cha Prince Pharmaceuticals kilichopo Buhongwa Jijini Mwanza
Rais Magufuli akipokea taarifa ya kiwanda hicho
Mbunge wa Nyamagana, Stanslaus Mabula akiteta jambo na wananchi wa jimbo lake
Bonyeza HAPA habari zaidi

No comments:

Powered by Blogger.