LIVE STREAM ADS

Header Ads

Utabiri wa Alliance FC kupepetwa na Mbao FC umeanzia hapa

Wasiliana na BMG kupitia 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com kwa huduma za Habari na Mangazo.

Mchezo wa ufunguzi wa pazia la Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara kwa msimu wa mwaka 2018/19 baina ya Alliance FC na Mbao FC zote za Jijini Mwanza umemalizika katika uwanja wa CCM Kirumba kwa Alliance kukubali kipigo cha bao 1-0.

Bao la Mbao FC ambao kwa asilimia kubwa wamemiliki mchezo wa leo limepachikwa kimiani dakika ya 79 kipindi cha pili na mchezaji Evaristus Mjwahuki. 
Mkuu wa Wilaya Nyamagana akisalimiana na wachezaji kabla ya mchezo kuanza
Viongozi wa soka, Manahodha pamoja na waamuzi
Kikosi cha Alliance FC
Kikosi cha Mbao FC

No comments:

Powered by Blogger.