LIVE STREAM ADS

Header Ads

"Kiwanda cha Lakairo kimetufutia aibu"- Waziri Mwijage

Wasiliana na BMG kupitia 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com kwa huduma za Habari na Mangazo.

Kiwanda cha “Lakairo Industries Group LTD” kilichopo katika Kijiji cha Isangijo wilaya ya Magu mkoan Mwanza kimezinduliwa rasmi hii leo Septemba 04, 2018 na Rais Dkt. John Pombe Magufuli.
Rais Dkt. John Magufuli akizungumza kwenye hafla hiyo
Wananchi waliojitokeza kwenye hafla hiyo

No comments:

Powered by Blogger.