LIVE STREAM ADS

Header Ads

Wananchi wafurahia ujenzi wa Hospitali ya Aga Khan wilayani Bunda

Wasiliana na BMG kupitia 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com kwa huduma za Habari na Mangazo.

Hospitali ya Aga Khan inatarajia kukamilisha ujenzi wa tawi jipya ya hospital la hospitali hiyo katika wilaya ya Bunda mkoani Mara ambapo hatua hiyo imepokelewa vyema na wananchi ambao wanasema itawaondolea adha ya kusafiri hadi mikoa jirani ikiwemo Mwanza kufuata huduma za afya kwa baadhi ya vipimo.
Bonyeza PLAY hapa chini kutazama BMG TV Online kwa taarifa kamili...
SOMA>>>Taasisi ya Aga Khan yakabidhi vifaa tiba wilayani Ukerewe

No comments:

Powered by Blogger.