LIVE STREAM ADS

Header Ads

Mara wameguswa na ajali ya Kivuko cha MV. Nyerere

Wasiliana na BMG kupitia 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com kwa huduma za Habari na Mangazo.

Naibu Waziri wa Madini Mhe. Doto Biteko ameahirisha kikao baina yake na viongozi mkoani Mara kufuatia taarifa ya kuzama Kivuko cha MV. Nyerere kilichokuwa kinafanya safari zake kati ya Kisiwa cha Bugorora na Ukara, Wilaya ya Ukerewe mkoani Mwanza.

Kikao hicho kilikuwa na lengo la kujadili taarifa kuhusu matumizi ya fedha za mfuko wa North Mara Trust Fund zilizokuwa zinatolewa na kampuni ya Acacia kwa ajili ya maendeleo ya jamii zinazozunguka mgodi wa Nyamongo.

No comments:

Powered by Blogger.