"Tumeanza kuona tija kwenye sekta ya madini"- Waziri Mkuu Majaliwa
Wasiliana na BMG kupitia 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com kwa huduma za Habari na Mangazo.
SOMA>>>King Msukuma alivyopiga neno mbele ya Waziri Mkuu
Waziri Mkuu
wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa (kushoto) akisalimiana na Naibu Waziri wa Madini Mhe. Mwl. Doto Biteko (kulia) alipowasili mkoani Geita jana Septemba 30, 2018 kufunga Maonesho ya Teknolojia ya Uzalishaji Dhahabu kwa Maendeleo ya
Kijamii na Uchumi wa Viwanda ambapo alikuwa mgeni rasmi.
SOMA>>>King Msukuma alivyopiga neno mbele ya Waziri Mkuu
No comments: