LIVE STREAM ADS

Header Ads

Majaliwa awatoa hofu wafugaji

Wasiliana na BMG kupitia 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com kwa huduma ya Habari na Matangazo.

Novemba 29, 2018 Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa alifanya ziara ya kikazi wilayani Bukombe ambapo aliweka jiwe la msingi kwenye ukarabati wa Kituo cha Afya Ushirombo na baadae kuzungumza na wananchi kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika katika uwanja wa stendi Ushirombo. Tazama BMG Online TV hapa chini
Mbunge wa Bukombe akiwatetea wapiga kura wake

No comments:

Powered by Blogger.