Header Ads

Karibu kwenye Mahafali ya Nane ya Chuo cha Maendeleo ya Jamii Ufundi Misungwi

Wasiliana na BMG Blog/ BMG Online TV kupitia 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com kwa huduma ya Habari na Matangazo.

Uongozi wa Chuo cha Maendeleo ya Jamii Ufundi Misungwi (MCDTTI) mkoani Mwanza unawakaribisha watu wote kwenye Mahafali ya Nane ya chuo hicho yatakayofanyika Disemba 07, 2018 kuanzia saa 10:00 asubuhi chuoni hapo.
Nyote mnakaribishwa!

No comments:

Powered by Blogger.