LIVE STREAM ADS

Header Ads

In Loving Memory of Ms. Kiondo

Wasiliana na BMG Blog/ BMG Online TV kupitia 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com kwa huduma ya Habari na Matangazo.

Ndugu, jamaa na marafiki wote wanakaribishwa kwenye kumbukumbu (kisomo) ya marehemu Bi. Badriya Ramadhani Haji Nee "Kiondo" itakayofanyika kesho Disemba 12, 2018 katika msikiti wa Masjid Al-Maamur Upanga Jijini Dar es salaam baada ya sala ya saa 04:30 Alasiri.

Kumbukumbu nyingine itafanyika Tumbaku Visiwani Zanzibar Disemba 15, 2018 katika msikiti wa Masjid Rizwan baada ya sala ya saa 04:30 alasiri.

Marehemu Bi. Badriya Ramadhani Haji Nee "Kiondo" alizaliwa Januari 25, 1958 na kufariki dunia Disemba 11, 2017 na anaendelea kukumbukwa na ndugu, jamaa na marafiki wakiongozwa na mmewe mpendwa Frank Kiondo na watoto wake Eddie pamoja na Ibrahim.
Inna Lillah Wainnalillah Rajuin
Wabillah Tawfiq

No comments:

Powered by Blogger.