LIVE STREAM ADS

Header Ads

NMB yakabidhi msaada wenye thamani ya Tsh. Milioni 10 katika Hospitali ya Taifa Muhimbili

Wasiliana na BMG Blog/ BMG Online TV kupitia 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com kwa huduma ya Habari na Matangazo.
Meneja wa NMB Kanda ya Dar es Salaam, Badru Idd (wa nne kushoto) akimkabidhi Kaimu Mkurugenzi wa Tiba Hospitali ya Taifa Muhimbili, Dkt. John Rwegasha moja ya mabenchi 52. Katikati ni Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto. Dkt. Faustine Ndugulile 




Mkuu wa Idara ya Magonjwa ya Dharura Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), Dkt. Juma Mfinanga (wa pili kulia) akitoa maelezo kwa Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Faustine Ndugulile (kulia), baada ya hafla fupi ya Benki ya NMB kukabidhiwa mabenchi 52 yenye thamani ya Milioni 10 katika Hospitali hiyo.

Mariam Shabani mkazi wa Kurasini Jijini Dar es salaam akizungumza na Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Faustine Ndugulile (wa pili kulia) na kuishukuru Serikali ya Awamu ya Tano inayoongozwa na Rais John Magufuli kwa kuendelea kuboresha huduma za afya nchini.


Meneja wa NMB Kanda ya Dar es Salaam, Badru Idd akizungumza jambo baada ya benki hiyo kutoa msaada wa mabenchi 52 ya kukalia yenye thamani ya Sh. Milioni 10.

Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Faustine Ndugulile (wa pili kulia) akizungumza na waandishi wa habari.

Kaimu Mkurugenzi wa Tiba Hospitali ya Taifa Muhimbili, Dkt. John Rwegasha akizungumza jambo na waandishi wa habari.

Mkuu wa Idara ya Magonjwa ya Dharura Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), Dkt. Juma Mfinanga akiagana na Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Faustine Ndugulile.
Imeandaliwa na Khamisi Mussa

No comments:

Powered by Blogger.