LIVE STREAM ADS

Header Ads

RC Mongella- "Ulinzi na Usalama si suala la kijeshi kijeshi"

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
Mkuu wa Mkoa Mwanza, John Mongella (kushoto), akimkabidhi Mkuu wa Chuo cha Taifa cha Ulinzi (NDC), Luten General Paul Peter Massao (kulia) zawadi ya picha ya mawe ya "Bismack Rock" inayobeba taswira ya Jiji la Mwanza.

Luten General Massao ameongoza ujumbe wa Maafisa wa chuo cha NDC waliowasili mkoani Mwanza kwa ajili ya ziara yao ya kimafunzo (masomo kwa vitendo) ambapo watatembelea miradi mbalimbali ikiwemo ya uzalishaji.
Na George Binagi-GB Pazzo, BMG
Mkuu wa Mkoa Mwanza, John Mongella (kushoto), akimkabidhi Mkuu wa Chuo cha Taifa cha Ulinzi (NDC), Luten General Paul Peter Massao (kulia) mwongozo wa uwekezaji mkoani Mwanza ulio katika mfumo wa kitabu na DVD.
Mkuu wa Chuo cha Taifa cha Ulinzi (NDC), Luten General Paul Peter Massao (kulia), akimkabidhi Mkuu wa Mkoa Mwanza, John Mongella (kushoto), zawadi ya nembo ya chuo hicho.
Mkuu wa Chuo cha Taifa cha Ulinzi (NDC), Luten General Paul Peter Massao (kulia), akimkabidhi Katibu Tawala Mkoa Mwanza, Christopher Kadio zawadi ya tai.
Maofisa mbalimbali wa vyombo vya ulinzi na usalama mkoani Mwanza akiwemo Kamanda wa Polisi Mkoa Mwanza, Jonathan Shanna.
Waliokaa ni Mkuu wa Mkoa Mwanza, John Mongella (katikati), Mkuu wa Chuo cha Taifa cha Ulinzi (NDC), Luten General Paul Peter Massao (kushoto) na Katibu Tawala Mkoa Mwanza, Christopher Kadio (kulia), wakiwa kwenye picha ya pamoja na Maofisa mbalimbali wa chuo cha NDC waliofanya ziara ya kimafunzo mkoani Mwanza.
Tazama BMG Online TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.