LIVE STREAM ADS

Header Ads

Mtoto Magidalena mkazi wa Geita anahiaji msaada wa haraka

Samahani kwa picha hapo chini, tumeiweka ili kuonesha ukubwa wa tatizo ambapo msaada wa haraka unahitajika, Ahsante!
Na Joel Maduka, Geita
Mtoto Magidalena Mhitazi (02) mkazi wa Nkome mkoani Geita anasumbuliwa na tatizo la jicho ikidhaniwa kwamba anaumwa saratani. Hivyo mama wa mtoto huyo, Magdalena Hezron anawaomba wasamalia wema kumsaidia mtoto huyo.

Wasiliana na babu wa mtoto, Hezron Daud kwa nambari 0742 759 089 ikiwa umeguswa kumsaidia.
Tazama BMG Online TV hapa chini
SOMA>>> Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Geita yapokea vifaa tiba kutoka APHFTA
Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com

No comments:

Powered by Blogger.