LIVE STREAM ADS

Header Ads

MUBASHARA: RC Mwanza anaongea na Maafisa kutoka Chuo cha Taifa cha Ulinzi

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com

 Mkuu wa Mkoa Mwanza, John Mongella (katikati), akizungumza na Mkuu wa Chuo cha Taifa cha Ulinzi (NDC), Lutenant Paul Massao (kulia) alipowasili ofisini kwake hii leo, Januari 14, 2019. Kushoto ni Katibu Tawala Mkoa Mwanza, Christopher Kadio. Maafisa wa chuo hicho wamewasili mkoani Mwanza kwa ajili ya ziara ya masomo kwa vitendo.
Na George Binagi-GB Pazzo, BMG
Mkuu wa Mkoa Mwanza, John Mongella (katikati), akizungumza na Mkuu wa Chuo cha Taifa cha Ulinzi (NDC), Lutenant Paul Massao (kulia). Kushoto ni Katibu Tawala Mkoa Mwanza, Christopher Kadio
Maafisa mbalimbali wa vyombo vya ulinzi wakiwa kwenye kikao baina ya Mkuu wa Mkoa Mwanza na Maofisa wa Chuo cha Taifa cha Ulinzi (NDC).
Tazama BMG Online TV #Mubashara hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.