LIVE STREAM ADS

Header Ads

Maadili yasisitizwa kwenye maombi ya kuliombea Taifa mkoani Geita

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
Na Joel Maduka, Geita
Maadili yamesisitizwa kwenye maombi maalum ya kuliombea Taifa chini ya Rais Dkt. John Pombe Magufuli, Rais Mstaafu Ally Hassan Mwinyi pamoja na Mama mzazi wa Rais Magufuli ambao wanaumwa.

Maombi hayo yaliandaliwa na Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi UVCCM wilayani Geita kwa kushirikiana na Umoja wa Wanawake wa Baraza Kuu la Waislamu BAKWATA mkoani Geita.

No comments:

Powered by Blogger.