LIVE STREAM ADS

Header Ads

Wadau na Wanahabari wauchambua Mswada wa Sheria ya Vyama vya Siasa

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
Fuatilia Mkutano wa kuwajengea uwezo waandishi wa habari kuhusu maudhui ya muswada wa vyama vya siasa ulioandaliwa na Chama cha Waandishi wa Habari wanaopiga vita matumizi ya dawa za kulevya na uhalifu Tanzana (OJADACT) na kufanyika katika ukumbi wa Mandela, Gold Crest Hotel Jijini Mwanza.
Thomasi Masanja ambaye ni Mwanasheria na Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha SAUT akiwasilisha mada kwenye mdahalo huo. Aliyekaa kushoto ni Kazeri Bituro ambaye ni Mwenyekiti wa Taasisi ya Sayansi ya Jamii (TASAJA).
Thomasi Masanja ambaye ni Mwanasheria na Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha SAUT akiwasilisha mada kwenye mdahalo huo. Watoa mada wengine ni Kazeri Bituo (kushoto) pamoja na Hamduni Maisele (kulia).
Mwenyekiti wa Chama cha Waandishi wa Habari wanaopiga vita matumizi ya dawa za klulevya na uhalifu Tanzania (OJADACT), Edwin Soko akitoa ufafanuzi kuhusiana na mdahalo huo.
Washiriki wa mdahalo huo wakiwemo viongozi wa dini.
Washiriki wa mdahalo akiwemo Mwenyekiti wa Umoja wa Klabu za Waandishi wa Habari Tanzania (UTPC), Abubakary Karsan (kushoto), wakifuatilia mdahalo huo.
Washiriki wa mdahalo.
Washiriki wa mdahalo.
Washiriki wa mdahalo huo wakiwa katika picha ya pamoja.
Tazama BMG Online TV hapa chini #Mubashara

No comments:

Powered by Blogger.