LIVE STREAM ADS

Header Ads

GACHUMA- “zamani ukiambiwa uende Hospitali ya Sekou Toure unalia”

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
Na George Binagi-GB Pazzo, BMG
Mwenyekiti wa Bodi ya Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Mwanza (Sekou Toure), Christopher Gachuma amepongeza uboreshaji wa huduma za afya uliofanyika katika hospitali hiyo hatua ambayo imechochea idadi ya wagonjwa pia kuongezeka.

Gachuma alitoa pongezi hizo jana kwenye hafla ya Benki ya CRDB kukabidhi hundi ya shilingi Milioni 20 katika Hospitali hiy  ili kusaidia ukarabati wa chumba cha upasuaji katika wodi ya akina mama hospitalini hapo.
Mwenyekiti wa Bodi ya Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Mwanza (Sekou Toure), Christopher Gachuma akizungumza kwenye hafla hiyo.
Katibu Tawala mkoani Mwanza, Christopher Kadio akizungumza jambo kwenye hafla hiyo.
Tazama BMG Online TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.