LIVE STREAM ADS

Header Ads

Mbunge Viti Maalum mkoani Njombe awafariji wafiwa mauaji ya watoto

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com

Mbunge wa Viti Maalum Mkoa Njombe kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Neema Mgaya (kulia), alipofika kutoa pole kwa ndugu, jamaa na marafiki wa mtoto Rachel Malekela (7) mkazi wa Kijiji cha Matembwe aliyeuawa na watu wasiojulikana.
BMG Habari
Mbunge Viti Maalum mkoani Njombe, Neema Mgaya (kulia) amewataka wananchi kuwa watulivu na kuacha tabia ya kujichukulia sheria mkononi kwa kuwashushia kipigo watu wanaowahisi kuhusika na mauaji hayo ambapo hadi sasa watu kadhaa wameuawa na wanachi wenye hasira.
Tazama BMG Online TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.