LIVE STREAM ADS

Header Ads

Nabii aonyeshwa unabii wa kutisha kuhusu “Valentine’s Day”

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
Nabii Deo Njeni wa Kanisa la Revival (Huduma ya Utukufu wa Mwisho), lililopo Mtaa wa Shamaliwa B Kata ya Igoma Jijini Mwanza, ameoneshwa unabii wa kutisha kuhusiana na “Valentine’s Day” ambayo mataifa mengi huisherehekea kama siku ya wapendanao. 
Ungana na BMG Online TV kufahamu unabii huo kisha chukua hatua.

No comments:

Powered by Blogger.