Header Ads

Wiki ya Vijana yapamba moto Jijini Mwanza

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com

Kanisa la kimataifa la "Lumala Mpya International Church" chini ya Mchungaji Kiongozi Dkt. Daniel Moses Kulola kwa kushirikiana na Mchungaji Mama Mercy Kulola limeandaa semina kubwa kwa vijana (Wiki ya Vijana 2019) kuanzia Aprili 15 hadi Aprili 21, 2019.
Kanisa liko nyuma ya Soko Jipya la Sabasaba Manispaa ya Ilemela.
#PamojaDaimaBMG

No comments:

Powered by Blogger.