LIVE STREAM ADS

Header Ads

Soko Kuu la Madini Mwanza kuzinduliwa leo

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com

Mkuu wa Mkoa Mwanza, John Mongella anawakaribisha wananchi wote wakiwemo wafanyabiashara na wadau mbalimbali wa madini kwenye hafla fupi ya uzinduzi wa Soko Kuu la Madini Mwanza.

Uzinduzi huo unafanyika leo Mei 08, 2019 kuanzia majira ya nne kamili asubuhi katika jengo la kitega uchumi la "Rock Cily Malla" ambapo mgeni rasmi anatarajiwa kuwa Waziri wa Madini, Doto Biteko
#PamojaDaimaBMG

No comments:

Powered by Blogger.