LIVE STREAM ADS

Header Ads

Mahakama inayotembea kuondoa mrundikano wa mashtaka jijini Mwanza

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
Katika kuharakisha utoaji haki kwa wananchi, Mahakama Kuu Kanda ya Mwanza leo Ijumaa Julai 12, 2019 imezindua rasmi Mahakama inayotembea, hatua itakayochochea wananchi wengi kufikiwa katika maeneo yao, kusikilizwa na kutatua mashtaka kwa haraka.
Tazama BMG Online TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.