Header Ads

Msako mkali Mwanza "wakamatwa wakibadilisha kiholela fedha za kigeni"

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
Jeshi la Polisi Mkoa Mwanza kwa kushirikiana na vyombo vingine vya ulinzi na usalama linawashikilia watu tisa kwa tuhuma za kujihusisha na biashara ya kubadilisha fedha za kigeni kiholela (bila kuwa na leseni) kufuatia msako mkali ambao pia umewezesha fedha za mataifa mbalimbali kukamatwa.
Tazama BMG Online TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.