LIVE STREAM ADS

Header Ads

Bugando Mpya: Maboresho makubwa “utadhani hotelini”

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
 Maboresho makubwa na ya kisasa yaliyofanyika katika wodi za wagonjwa mashuhuri (VIP) pamoja na binafsi (Private) katika Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Ziwa Bugando yamewavutia wengi na kufananisha wodi hizo na vyumba vya hotelini.

Huduma mbalimbali zitakuwa zinapatikana kwenye wodi hizo kama vile madaktari bingwa kuwahudumia wagonjwa muda wowote wanapohitajika, uwepo wa huduma za wavuti (Internet), friji, kiyoyoji, luninga, maji ya moto na nyinginezo nyingi ambapo uzinduzi wake ulifanyika Agosti 30, 2019.
#BMGHabari
 Baadhi ya wananchi na watumishi wa Hospitali ya Bugando wakifuatilia hafla hiyo.
 Mkuu wa Mkoa Mwanza, John Mongella (wa tano waliokaa) akiwa kwenye picha ya pamoja na viongozi na wadau mbalimbali wa afya mkoani Mwanza.
 Mkuu wa Mkoa Mwanza, John Mongella (wa tano waliokaa) akiwa kwenye picha ya pamoja na viongozi mbalimbali na watumishi wa Hospitali ya Rufaa Bugando.
Tazama BMG Online TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.