LIVE STREAM ADS

Header Ads

Tukio la wanafunzi "kuvuna mtama kwa meno" wilayani Bunda lachukua sura mpya

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
Mkuu wa Wilaya ya Bunda mkoani Mara, Lydia Bupilipili amesema ataunda tume maalum ili kuchunguza ukweli wa tuhuma zinazomkabili Mwalimu Mkuu Msaidizi wa Shule ya Msingi Mihingo kuwatumikisha wanafunzi kwenye mashamba yake ikiwemo kuvuna mtama kwa meno nyakati za masomo.
Tazama BMG Online TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.