LIVE STREAM ADS

Header Ads

Waziri Mkuu aanza ziara ya kikazi mkoani Geita

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com

 Viongozi mbalimbali mkoani Geita wakiwa tayari kumlaki Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa katika uwanja wa ndege wa Chato, Septemba 21, 2019.
#BMGHabari
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akishuka kwenye ndege baada ya kuwasili kwa ajili ya ziara ya kikazi mkoani Geita.
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa (kulia) akisalimiana na Mkuu wa Mkoa Geita, Mhandisi Robert Gabriel baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Chato.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa (kulia) akisalimiana na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa Geita, Alhaj Said Kalidushi
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa (kulia) akisalimiana na Mbunge wa Jimbo la Chato, Dkt. Medard Kaleman ambaye pia ni Waziri wa Nishati.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa (kulia) akisalimiana na mbunge wa Jimbo la Bukombe, Doto Biteko ambaye pia ni Waziri wa Madini.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na mbunge wa Bukombe, Do to Biteko ambaye pia ni Waziri wa Madini.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akifurahia jambo alipokuwa akisalimiana na mbunge wa Bukombe, Doto Biteko ambaye pia ni Waziri wa Madini.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na mbunge wa Geita Mjini, Constantine Kanyasu ambaye pia ni Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mkuu wa Wilaya Bukombe, Said Nkumba.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akilakiwa na kikundi cha burudani katika uwanja wa ndege wa Chato.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akishuhudia kikundi cha ngoma.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akifurahia burudani kutoka kwa kikundi cha ngoma asili.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwashukru wana Geita kwa mapokezi mazuri.
Awali Mkuu wa Mkoa Geita, Mhandisi Robert Gabriel (Julia) akisalimiana na mbunge wa Bukombe, Doto Biteko (kushoto) ambaye pia ni Waziri wa Madini.
Mbunge wa Jimbo la Bukombe, Doto Biteko (kushoto) ambaye pia ni Waziri wa Madini akifirahia jambo na viongozi mbalimbali akiwemo mbunge wa jimbo la Geita Vijijini, Joseph Kasheku "Msukuma" (katikati).
Mbunge wa Bukombe, Doto Biteko (kushoto) ambaye pia ni Waziri wa Madini akiwa pamoja na mbunge wa Chato, Dkt. Medard Kalemani (katikati) ambaye pia ni Waziri wa Nishati pamoja na mbunge wa Nyangh'wale (kulia).
Mbunge wa Bukombe, Doto Biteko (kushoto) pamoja na mbunge wa Nyanh'wale (kulia) wakimsikiliza mbunge wa Chato, Dkt. Medard Kalemani (katikati) ambaye pia ni Waziri wa Nishati.
Awali mbunge wa Bukombe, Doto Biteko ambaye pia ni Waziri wa Madini (kulia) pamoja na mbunge wa Nyanh'wale (kushoto) wakiwasili uwanja wa ndege wa Chato.
Mbunge wa Bukombe, Doto Biteko (kushoto) ambaye pia ni Waziri wa Madini.
Viongozi mbalimbali akiwemo mbunge wa Bukombe, Doto Biteko (kushoto) ambaye pia ni Waziri wa Madini.
@ChatoAirport
Baada ya kuwasili uwanja wa ndege wa Chato, Waziri Mkuu alielekea katika kiwanda cha Chama cha Ushirika Chato (CCG) kuzungumza na wakulima wa pamba ambapo alisisitiza kwamba pamba yote itanunuliwa kwa bei ya Tsh. 1,000
Wananchi/ wakulima wa zao la pamba wakiwa kwenye mkutano wa Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wilayani Chato.

No comments:

Powered by Blogger.