LIVE STREAM ADS

Header Ads

Biteko aongoza Harambee ya CCM wilayani Mbogwe "fedha zisiwe chanzo cha mgogoro"

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
Mbunge wa Jimbo la Bukombe mkoani Geita, Doto Biteko (kushoto) ambaye pia ni Waziri wa Madini ameongoza harambee ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Mbogwe mkoani humo iliyolenga kutafuta fedha kwa ajili ya utekelezaji wa shughuli na miradi mbalimbali ya chama hicho ambapo takribani Tsh. Milioni 30 zimepatikana ikiwa ni fedha taslimu pamoja na ahadi.
Tazama BMG Online TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.