LIVE STREAM ADS

Header Ads

Hospitali ya Bugando yafanya uchunguzi wa macho kwa wananchi bure

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
Wananchi wamejitokeza kwa wingi katika Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Ziwa Bugando iliyopo jijini Mwanza, kupata huduma ya uchunguzi wa macho bure kuanzia Novemba 19, 2019 huku waliopatikana na maradhi ya macho wakipatiwa matibabu kwa gharama nafuu.
Tazama BMG TV ONLINE hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.