LIVE STREAM ADS

Header Ads

Wateja wa Benki ya KCB wala shavu “ndani na nje ya nchi”

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
 Wafanyabiashara wadogo na wakati nchini Tanzania wameendelea kunufaika na Klabu ya Biashara kupitia Benki ya KCB ikiwemo kuunganishwa na fursa mbalimbali za kibiashara nchi za nje.

Meneja wa KCB Tawi la Mwanza, Emmanuel Mzava anasema Klabu ya Biashara ya benki hiyo imekuwa na manufaa makubwa kwa wafanyabiashara katika kipindi kifupi baada ya kuanzishwa.

Mzava amebainisha hayo kwenye mkutano wa wafanyabiashara wadogo na wa kati mkoani Mwanza uliofanyika Novemba 20, 2019 ukilenga kuwakutanisha pamoja ili kubadilishana uzoefu pamoja na kujadili fursa mbalimbali za kibiashara.
#BMGHabari
 Meneja wa Benki ya KCB Tawi la Mwanza, Emmanuel Mzava akifafanua jambo kwenye mkutano huo.
Mkuu wa Kitengo cha Masoko Mahusiano na Mawasiliano kutoka Benki ya KCB, Christina Manyenye akizungumza kwenye mkutano huo.
 Wanahabari wakinasa matukio wakati wa mkutano huo.
 Katibu Mkuu wa Klabu ya Waandishi wa Habari Mkoa Mwanza (MPC), Magreth Kusekwa akichangia mada wakati wa mkutano huo.
 Baadhi ya wateja wa Benki ya KCB wakibadilishana uzoefu na fursa za kibiashara wakati wa mkutano huo.
 Mmoja wa wateja wa Benki ya KCB akichangia jambo wakati wa mkutano huo.
 Wateja wa Benki ya KCB wakifuatilia mkutano huo.
Tazama BMG TV ONLINE hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.