Mafuriki yasababisha maafa Sengerema "tisa wafariki dunia"
Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
Watu tisa wa
familia mbili tofauti wakazi wa Nyatukala Wilaya Sengerema mkoani Mwanza
wameripotiwa kufariki dunia baada ya kusombwa na mafuriko yaliyosababishwa na
mvua kubwa iliyonyesha Jumamosi Novemba 23, 2019 kuanzia majira ya asubuhi hadi
mchana.
Mvua hiyo
pia ilisababisha uharibifu wa baadhi ya miundombinu ikiwemo nyumba pamoja na
barabara.
Tazama BMG TV ONLINE hapa chini
No comments: