LIVE STREAM ADS

Header Ads

Ulipofikia ujenzi wa jengo la abiria Mwanza Airport baada ya miezi miwili

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
Ujenzi wa jengo la abiria katika uwanja wa ndege wa Mwanza unaelekea ukingoni katika hatua ya awali ya msingi kama picha zinavyoonekana Novemba 28, 2019.
BMG tumezungumza na wasimamizi wa mradi huo na kueleza hatua inayofuata baada ya hatua hii ya kuweka mawe juu ya msingi wa ujenzi wa jengo hilo.
Maelezo yote kuhusiana na hatua ulipofikia ujenzi huu yanapatiana hapo chini kupitia BMG TV ONLINE.
Tazama BMG TV ONLINE hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.