LIVE STREAM ADS

Header Ads

Maombi kwa viongozi wa Tanzania "wakiongozwa na Rais Magufuli"

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
Mchungaji wa Kanisa la EAGT Kiloleli lililopo Manispaa ya Ilemela mkoani Mwanza Mwl. Dkt. Jacob Mutash akiombea amani ya Taifa pamoja na viongozi mbalimbali wakiongozwa na Rais Dkt. John Magufuli.

Maombi hayo yamefanyika Novemba 03, 2019 kupitia ibada maalum ya kumpongeza Dkt. Mutash baada ya kusimikwa kuwa Mchungaji wa Kanisa la EAGT Kiloleli ambayo pia imehudhuriwa na viongozi mbalimbali wa Serikali wakiongozwa na Mkuu wa Mkoa Mwanza, John Mongella.
Tazama BMG TV ONLINE hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.