LIVE STREAM ADS

Header Ads

Dkt. Gwajima alivyodanganywa “baada ya kukuta hospitali haina neti”

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OR- TAMISEMI) anayeshughulikia sekta ya afya, Dkt. Dorothy Gwajima akieleza namna alivyodanganywa baada ya kufika wilayani Tarime na kukuta Hospitali haina vyandarua.
Tazama BMG TV ONLINE hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.