LIVE STREAM ADS

Header Ads

Maadhimisho ya Uhuru/ JPM ajivunia mafanikio, wafungwa 5533 wasamehewa

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
Fuatilia matangazo ya moja kwa moja #Mubashara #LIVE kutoka uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza yanapofanyika maadhimisho ya miaka 58 ya Uhuru wa Tanganyika na miaka 57 ya Jamhuri mgeni rasmi akiwa Rais Dkt. John Magufuli hii leo Disemba 09, 2019.
Tazama BMG TV ONLINE hapa chini
Maadhimisho ya Uhuru "Magufuli atembea kijeshi uwanjani"

Maadhimisho ya Uhuru "Makomando wametisha"

Maadhimisho ya Uhuru 'Mbowe amwangukia Magufuli'

Maadhimisho ya Uhuru "Rais Magufuli atoa msamaha kwa wafungwa 5533

Maadhimisho ya Uhuru/ Magufuli ajivunia mafanikio haya

Maadhimisho ya Uhuru "JPM alivyoondoka uwanjani"

No comments:

Powered by Blogger.