LIVE STREAM ADS

Header Ads

Dkt. Bashiru awabeza wapinzani “uchaguzi wa ndani umewapelekesha”

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
 Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Bashiru Ally akizungumza kwenye Mkutano wa Mbunge wa Nzega mkoani Tabora, Hussein Bashe kuwasilisha taarifa ya utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi, Disemba 08, 2019.
Na George Binagi-GB Pazzo, BMG
 Wana CCM wilayani Nzega wakifuatilia mkutano huo.
 Katibu Mkuu wa CCM, Dkt. Bashiru Ally akikabidhi pikipiki zilizotolewa na Mbunge Hussein Bashe kwa ajili ya kurahisha utendaji kazi wa makatibu wa chama hicho wilayani Nzega.
  Katibu Mkuu wa CCM, Dkt. Bashiru Ally akikabidhi baiskeli zilizotolewa na Mbunge Hussein Bashe kwa ajili ya Wenyeviti na Mabalozi wilayani Nzenga ili kurahisha utendaji kazi wao.
Tazama BMG TV ONLINE hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.